Skip to main content
JamboScript Logo

Karibu JamboScript!

JamboScript ni lugha ya programu iliyoundwa kwa Kiswahili. Inabadilika kuwa JavaScript.

Mfano wa Haraka

kazi salamu(jina) {
kama (jina ni "Fatma") {
andika("Jambo boss 👑")
} la sivyo {
andika("Jambo " + jina)
}
}

salamu("Fatma")
salamu("Juma")

Kusakinisha

npm install -g jamboscript

Programu Yako ya Kwanza

Tengeneza faili inayoitwa habari.jambo:

andika("Habari Dunia!")

acha jina = "Juma"
andika("Jina langu ni " + jina)

Iendeshe:

jamboscript habari.jambo

Kwa Nini JamboScript?

  • Jifunze kwa Kiswahili — Tumia maneno unayoyajua kama kazi, kama, andika
  • JavaScript Halisi — Inabadilika kuwa JS safi unayoweza kutumia popote
  • Kamilifu — Vibadilika, kazi, mizunguko, masharti, na zaidi