← Home

👨‍👩‍👧 Kwa Wazazi na Walimu

🎯 JamboScript ni Nini?

JamboScript ni programming language iliyotengenezwa kwa Kiswahili. Inafundisha basics za compyuta science kupitia stories na games — watoto wanajifunza kwa kufanya, si kusoma tu.

🧒 Umri Unaofaa

JamboScript imetengenezwa kwa watoto wa miaka 8–14. Hawahitaji kujua chochote mapema — game inawafundisha step by step.

📚 Watoto Watajifunza Nini?

  • ✦Kuambia compyuta iseme kitu (andika = print)
  • ✦Kufundisha compyuta kukumbuka vitu (variables = box zenye label)
  • ✦Kufundisha compyuta kuchagua (kama hii, fanya hii)
  • ✦Kufanya compyuta irudie vitu (loops = fanya mara 5!)
  • ✦Kutengeneza recipe zao za code (functions)

🔒 Usalama

Code yote ina-run ndani ya browser tu — hakuna data inatumwa kwa server yoyote. Hakuna ads, hakuna tracking, hakuna hidden charges.

💬 Wasiliana Nasi

Kwa maswali au feedback, tembelea jamboscript.org

🔒📜 Soma Sera ya Faragha→