Skip to main content

Rejea ya Maneno Yote

Rejea kamili ya maneno yote ya JamboScript.

Vibadilika

JamboScriptJavaScriptMaana
achaletacha/ruhusu
thabiticonstthabiti

Kazi

JamboScriptJavaScriptMaana
kazifunctionkazi
rudishareturnrudisha
andikaconsole.logchapisha

Udhibiti wa Mtiririko

JamboScriptJavaScriptMaana
kamaifkama
la sivyoelsela sivyo

Mizunguko

JamboScriptJavaScriptMaana
wakatiwhilewakati
rudiaforrudia
vunjabreakvunja
endeleacontinueendelea

Chagua

JamboScriptJavaScriptMaana
chaguaswitchchagua
halicasehali
kawaidadefaultkawaida

Booleans na Tupu

JamboScriptJavaScriptMaana
kwelitruekweli
sivyofalsesivyo
tupunulltupu

Opereta za Kulinganisha

JamboScriptAlamaMaana
ni==sawa na
chini<chini ya
zaidi>zaidi ya
mpaka<=mpaka
angalau>=angalau

Opereta za Mantiki

JamboScriptAlamaMaana
na&&na
au||au
si!si

Hesabu

AlamaMaana
+ongeza
-ondoa
*zidisha
/gawanya
%baki
++ongeza moja
--ondoa moja

Upaji

AlamaMaana
=weka
+=ongeza na weka
-=ondoa na weka
*=zidisha na weka
/=gawanya na weka

Maoni

# Hii ni maoni